Kuna kipindi Tunapitia Nyakati Ngumu kwa Kuondokewa na Wapendwa. Huwa ni kipindi kigumu sana kukabiliana nacho lakini Mungu wetu ni mwema sana hajawahi kutuacha peke yetu. Niwatia moyo wale wote mliopoteza wazazi wenu (baba), yupo Mlezi asiyechoka naye ni Mwenyezi Mungu
Tags:
audio