Mwimbaji wa Nyimbo za Injili na mwenye mbwembwe na Makeke mengi awapo Jukwaani BONY MWAITEGE ambaye ni mzaliwa wa mkoa wa Mbeya lakini akiwa na makazi yake jijini Dar es Salaam akifanya kazi ya kumtumikia Mungu kwa Nyimbo na Mahubiri ameachia wimbo wake uitwao MWALIMU. Upakue au usikilize hapa chini.
Tags:
gospel